Ndugu wadau, wageni waalikwa Mabibi na Mababu,
Kufuatia Maombi ya "wanachama" wengi, wasomi, wanachi na hata wajumbe wa kamati kuu, nimeamua kutii ombi lao la kuweka hii Blogu Hewani.... teh teh.... Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisheni katika blogu yangu rasmi, ambapo mipango, malengo na makusudi yangu ni kuwapeni habari mchanganyiko, zilizodadavuliwa na kuandaliwa kwa jicho la tatu...
Masuala utakayokutana nayo katika hili Blogu ni pamoja na ya Kijamii, Mahusiano (I mean Mapenzi), Vimbwanga, Tafakari za kina, Siasa, Michezo na Burudani,na Mungu akipenda kutakuwa na kazalika....
Sio lengo langu ku-limit uwezo/uhuru wa mtu kuchangia kwenye posts zilizopo, lakini natarjia busara yako msomaji itakuongoza katika kuweka comment zenye busara, zilizoenda shule... Twende pamoja
Kwa maoni ya haraka, maswali, mapendekezo, nitumie ujumbe mfupi kupitia 0716 881 516
Wasalaam,
Mwana wenyu,
...mussa
Karibu sana huku Mussa. Umefanya uamuzi wa busara kuwa mwanablogu na pasi na shaka tutakula vingi humu. Karibu sana.
ReplyDeletePamoja sana, Mimi ni Mussa, sio Anonymous
ReplyDeleteI can see ur serious with your work, keep it up so that you may help the Welfare of this Beloved nation (TZ) blessed with abundant resources to make it Africa's number One in less than "FIFTY YEARS OF INDEPENDENCE"
ReplyDeleteThanks, Mussa
ReplyDelete