Safu hii Itakuletea makala zenye kufunza masuala mbalimbali yahusuyo Nadharia na Utendaji katika Siasa, Uongozi na Uraia. Lengo ni kusaidia kutoa Elimu ya Siasa Bure kwa Mamilioni ya Watanzania - ambao wengi wao Hawajui kwamba Siasa, kama zilivyo fani nyingine katika maisha - ina Taaluma/Elimu yake.
Wewe Msomaji unakaribishwa kutuma makala zako zenye lengo la kutoa Elimu ya Siasa na Uraia na Zita-postiwa hapa.
Tuma Makala zako fupi (Uk. 1-2) kwa email hii: msbillegeya@hotmail.com