Wednesday, January 18, 2012

MAREHEMU Regia: PICHA za KUAGA MWILI Wake, DSM na Ifakara!

Kutoka ulikohidhiwa Mwili...



Wageni mbalimbali waliwasili....

Mwili ukapelekwa eneo husika......


Viongozi wengi walikuwepo....



 Hotuba kutoka Chama na Serikali zikatolewa....


Ndipo tulianza kuaga.......



Mzee wa Vijisurufu tulikuwa naye.... nilipenda Pozi lake la Kumwangalizia makamu wa Rais....




Kule Ifakara Mwili Ulipokelewa na Mamia ya Watu waliojawa na Hisia za Uchungu.....





R.I.P REGIA



3 comments:

  1. Jee
    ni nani wa kuendeleza pale alipoishia marehemu??

    R.I.P

    ReplyDelete
    Replies
    1. Obviously, nadhani ni mimi na wewe na mwiungine tutakeyemuelimisha.... tusimuangushe marehemu, tusimame kwenye nafasi yake, tutakuwa tumemuheshimu na kumuenzi kwa ukweli...

      Delete